Kliniki ya watoto

Posted on: May 3rd, 2026

Kliniki hii inafanyika mara tatu kwa wiki ambapo ni Jumanne,Jumatato na Alhamisi.

Kliniki hii inaongozwa na daktari wa watoto