Mission and vision

DIRA

Kutumikia jamii kwa kutoa huduma za hali ya juu, za kuzuia na kutibu zinazoongozwa na maadili ya msingi ya hospitali.


DHAMIRA

Kuwa kituo cha Ubora katika kutoa huduma bora za kiafya kwa wateja / wagonjwa katika ukanda wa magharibi