Nafikaje Tabora RRH

Kutokea stendi ya mabasi Tabora  chukua bodaboda fuata itetemia road  shuka kitete.