Kliniki Ya Meno
KITENGO CHA KINYWA NA MENO.
Huduma zinazotolewa:-
1.Kung'oa/kutoa jino lililoharibika.
2.Kuziba meno.
- Kawaida.
- Kuua mzizi wa jino.
3.Matibabu ya Kinywa kinachotoa harufu mbaya (kusafisha meno).
4.Meno ya Bandia.
5.Matibabu ya mivunjiko inayohusiana na taya na meno.