Wagonjwa wa nje
- Idara ya magonjwa ya nje ina huduma rafiki kwa wezee.
Kuna dirisha la wazee
Kuna chumba cha daktari cha wazee.
- Inatoa huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi katika siku za Jumatatu na Ijumaa
iwapo mgonjwa atagundulika na mabadiliko ya awali ambayo yanaweza kufanywa tiba, atafanywa tiba mgandisho.(criotherapy)
Ikiwa mabadiliko ya awali yamezidi vigezo vya tiba mgandisho atapelekwa rufaa hospitali bingwa kwa ajili ya tiba ya top.
Mteja akigundulika na mahusiano ya saratani ya mlango wa kizazi atapewa rufaa.
- Ina huduma ya dharura ambapo mgonjwa wa dharura kama ajali na waliokuwa serious wanahudumiwa kwa haraka zaidi bila kufuata foleni, sambamba na hilo kuna team maalumu ya wahudumu kwa ajili ya kushughulikia magonjwa ya dharura.
-
- Ina vyumba maalumu kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa ajali, ambapo wagonjwa wanapata huduma kama za mobilization na tractures,kushonwa majeraha na kusafishwa.
-
- Kunahudumaya kupima vvu kwa hiari.