All Clinics

Kliniki hii inafanyika mara tatu kwa wiki ambapo ni Jumanne,Jumatato na Alhamisi.

Kliniki hii inaongozwa na daktari wa watoto

Kliniki hii inafanyika mara mbili kwa wiki ambayo ni Jumanne na Alhamisi

TAARIFA FUPI JUU YA KLINIK YA MOYO NA SUKARI:

  • Katika hospitali ya Mkoa wa Tabora –KITETE kuna aina mbalimbali za klinik zinazofanyika miongoni mwa kliniki hizo ni pamoja na kliniki ya moyo pamoja na sukari.
  • Kliniki ya moyo hufanyika kila siku ya j...

Kitete RRH runs a clinic once a week which is on Thursday

Care and treatment clinic at Tabora Regional Referral Hospital is focusing on increasing the number of people on ART and linking PL HIV to the community

Kliniki hii ni kwa ajili ya wagonywa wa macho ambapo huduma hutolewa kuanzia jumatatu mpaka ijumaa