JENGO JIPYA LA UPASUAJI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
Posted on: October 18th, 2019Hospitali ya rufaa mkoa wa Tabora imeanza matumizi ya jengo jipya la upasuaji. Jengo hilo lenye vifaa vya kisasa limekuwa mkombozi kwa wakazi wa mkoa huo wanao hitaji huduma ya upasuaji.